
Swahili
Swahili
Karibu katika shule ya mtandaoni ya Karense kupitia tovuti yake ya Note Norskundervisning .Mafunzo hutolewa kwa lugha ya kinorwegian katika ngazi zote. Na kozi zetu zinakuandaa kwa ajili ya kufanya testi ya lugha na Bergentesti(kiwango cha juu cha lugha).Na imethibitishwa/kuidhinishwa na inatambuliwa na UDI pamoja na Kompetanse Norge. Na ambao wamekuwa wakitoa mafunzo ya lugha hii kwa muda mrefu na katika njia tofauti.
Urahisi wa kozi za mtandaoni
Kozi zetu ni kwa njia ya mtandao na hivyo zina urahisi.Unaweza kusoma kwa wakati unaotaka wewe na mahali popote ulipo.Kozi zetu zinawezekana kwa watu wote na katika mazingira yeyote,hata kama uko uko bize na unafia no unafia mwanafunzi unasoma.
Tunatoa kozi katika ngazi ya A1, A2, B1, B2 na C1 .Kwahiyo unaweza kuchagua kozi ikiwa unaanza au tayari unayo kiwango cha juu cha lugha na unataka kujiendeleza zaidi. kozi.
Tunatoa pia kozi za afya na za chekechea kwa wale wanaofanya kazi katika sekta ya afya na chekechea.Kwa kuongezea, tunayo pia mafunzo ya namna ya kuzungumza kinorwegian na mbao wanataka kuboresha kuboresha namna ya kuzungoza, tunayo pia mafunzo ya namna ya kuzungumza kinorwegian na mbao wanataka kuboresha namna ya kuzungoza. sayansi jamii(sammfunnskunnskapskurs ) masaa 50,tunatoa mafunzo haya kwa lugha ya kinorwegian, kiarabu na kiingereza.
Shule ya mtandaoni ilianzishwa mnamo mwaka 2015. Karense ambae ni mwalimu ametumia uzoefu wake wa zaidi ya miaka 15 aliyokuwa anafundisha kama mwalimu wa lugha kutengeneza kozi hii ambayo imeleta matokeo maukeo mapithuleo mazuri. nzima ya waalimu waliofuzu mafunzo kutoka Norway ambao wanawasaidia wanafunzi wetu.Kupitia kozi zetu za kwenye mtandao unaweza kuwa na fursa ya rasilimali zetu kama ille video za mwalimu Karense za kwenye You-Tubi wa saues,ujumka na facebook na instagram.
Kozi zilizopo na mwongozo wa kibinafsi
Kozi za lugha ya kinorwegian zitolewazo mtandaoni ni pamoja na kusoma, kusikiliza, kuandika og rekodi za sauti. Mazoezi ya uandishi ambayo yanawasilishwa, yanasomwa, yanasahihishwa og yanakaguliwa na walimu wetu. Hapa kuna vidokezo juu ya namna ya kuifanya bora zaidi wakati ujao.
Soma zaidi juu ya kila kozi kuona kile kilichojumishwa au tutumie barua pepe.
Pia inajumuisha lisaa limoja kuzungumza na mwalimu kwa mwezi kwenye kozi. Masaa haya yanaweza kutumika katika mafunzo ya kuzungumza. Ambapo unaweza kuboresha matamshi yako (navna ya kutamka maneno),na kuwa mjuzi katika kuzungumza lugha ya kinorwegian, sio tu katika kuandika na kusoma.Unaweza kutumia pia huo muda katika kupitia sarufi( gramatikk )ambazo na tapotakana u. mfano kwenye mahojiano ya kazi.
Baada ya masaa hayo pia, utapokea repoti ya maandishi ama mazungumzo zenye kuonyesha vitu ulivojifunza, maneno ambayo unatakiwa kuyafanyia mazoezi na utapata linki ambayo itakusaidia katika kijifunza kwako.
Kozi ya kingereza katika ngazi zote
Merk at du ikke trenger å gjøre noe med det, og det er ikke noe annet enn det du trenger. kutoka kwa mwalimu.
Kozi ya kingereza sio tu kwa wale wanaotaka kuijua kwa mawasiliano,lakini pia ni kwa wale ambao wanahitaji kujiandaa na mtihani wa TOEFL au IELTS kwa ajili ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu nje chuo kikuu nje ali ya kintu waza. yao ni wamarekani ila wanaishi Norge.
Kutana na Karense
Kwenye chaneli ya YouTube unaweza kujifunza kutoka kwa Karense.Na utapata kujionea kozi zetu mtandaoni.Tazama video hii kujionea namna kozi zetu zilivyo.
Jiandikishe
Tunatarajia kuona wanafunzi wapya kwenye kozi zetu.Tunawakaribisha watu wote , haijalishi una kiwango gani cha lugha na unaenda wapi.Malengo yetu ni kukufanya wewe uwe bora katika lugha .